18-27-SW Kinywa changu kiimbe sifa yako

Kinywa changu kiimbe sifa yako

18-27-SW

sw

CHANT PRINCIPAL : 18-27-PT

1. Maisha yetu yatoka kwako,
Kinywa changu kiimbe sifa yako.
Tegemeo letu ni wewe,
Kinywa changu kiimbe sifa yako.
Furaha yetu yatokakwako,
Kinywa changu kiimbe sifa yako.
Tumaini letu ndiwe Kristu !
Kinywa changu kiimbe sifa yako.

R. Usi fiwe Bwana wangu,
Kwa makuu na ushindi wako.
Sifa kwako Bwana wangu
Ni me pendwa nawe sana
Kinywa changu kiimbe sifa yako.

2. Mwanga wako ni maishani mwetu,
Kinywa changu kiimbe sifa yako.
Weweni mwangaza nji ani mwetu,
Kinywa changu kiimbe sifa yako.
Nawe tumeweza piga vita,
Kinywa changu kiimbe sifa yako.
Imani kwakondiyo ngu vu yetu !
Kinywa changu kiimbe sifa yako.

3. Unawakomboa wapotevu,
Kinywa changu kiimbe sifa yako.
Weweumependezwa nawote,
Kinywa changu kiimbe sifa yako.
Katika magumu wakuita,
Kinywa changu kiimbe sifa yako.
Nawe waweza kuwasikiya !
Kinywa changu kiimbe sifa yako.

4. Ume niepushanaadui,
Kinywa changu kiimbe sifa yako.
Nimeshinda wanaonitesa,
Kinywa changu kiimbe sifa yako.
Na taifa zotenakusifu,
Kinywa changu kiimbe sifa yako.
Jinalakonishe rehekwangu !
Kinywa changu kiimbe sifa yako.

Kichwa asili (FR) : Que ma bouche chante ta louange © 2010, Éditions de l’Emmanuel, 89 boulevard Blanqui, 75013 Paris Tafsiri : Communauté de l’Emmanuel

Tons de Psaume - Sol Majeur

99-99-04-FR

Tons de Psaume - Rém

99-99-03-FR

Tons de Psaume - Lam

99-99-02-FR

Tons de Psaume - Do Majeur

99-99-01-FR

Tons de Psaume

99-99-FR

弥撒程序 - 礼成仪式

99-98-08-ZH