COTE IEV: 28-04-SW-PARTIEV
Nyimbo na muziki : Jumuiya ya Emmanuel (G. Kishiba Kamwanya / P. Bertin)
1. Amka, Simama, Mtukuze Bwana.
Amka, Simama, Mtukuze Bwana.
Amkeni wote Vinanda,
Ngoma, Filimbi
Nitaamka Alfadjiri
Nitaamka Alfadjiri
R. Roo Yangu
Ni tayari bwana
Roo Yangu ni tayari bwana
Ta Kwimbiya
Katika Matayifa yote
Ta kwimbiya
Ta Kwimbiya
Katika Matayifa yote
Ta kwimbiya
© 2022, Jumuiya ya Emmanuel Kongo
1,70 €